News

October 29th, 2012
Picha ni, Mh. Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka akimkabidhi Mh. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete anwani ya Ofis
September 21st, 2012
Includes new regions and districts

Extra Menu

Viwango vipya vya kodi ya pango la Ardhi na tozo nyingine

Submitted by ardhi on Wed, 10/10/2012 - 16:18
Kuanzia mwaka wa fedha 2012/2013
Viwango

 

Viwango vipya vya kodi ya pango la Ardhi na tozo nyingine.Viwango hivyo vinahusisha:
1. GN 259-261 inahusu viwango vipya vya usajili na hamisho mbalimbali za nyaraka za kisheria.
2.GN 263-265 inahusu ada mbalimbali zitakazotozwa katika Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya na gharama za    upimaji wa ardhi.
3. GN  266 inahusu viwango vipya vya kodi ya ardhi kwa matumizi mbalimbali nchini ( Viwanja na mashamba).

Ili kupata maelezo zaidi na viwango hivyo bonyeza hapa