News

October 29th, 2012
Picha ni, Mh. Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka akimkabidhi Mh. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete anwani ya Ofis
September 21st, 2012
Includes new regions and districts
September 11th, 2012
FINANCIAL YEAR: 2012/2013

Extra Menu

Mkutano wa kujadili vipaumbele sekta ya Ardhi Kanda ya Kati

Submitted by ardhi on Fri, 08/10/2012 - 16:45
Mkutano Kanda ya Kati

Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr Rehema Nchimbi akifungua Mkutano wa Kazi wa Watendaji wa Sekta ya Ardhi na sekta wadau wa ardhi wa Kanda ya Kati ukumbi wa CCT Dodoma tarehe 01/8/2012.Kulia ni Bw. Joseph Shewiyo Kamishna Msaidizi wa Ardhi Kanda ya Kati na Kushoto ni Bw. Manase Mbasha, Kamishna Msaidizi wa Madini Kanda ya Kati.