News

October 29th, 2012
Picha ni, Mh. Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka akimkabidhi Mh. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete anwani ya Ofis
September 21st, 2012
Includes new regions and districts

Extra Menu

Waziri wa Ardhi Mhe. Anna Tibaijuka akibadilishana mawazo na Balozi wa Marekani Mhe. Alfonso Lenherts

Submitted by alexkaraba on Thu, 04/12/2012 - 12:46
Utendaji kazi

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Pro. Anna Tibaijuka (kulia) akizungumza na Balozi wa Marekani nchini Mhe.Alfonso Lenherts  wakati alipomtembea ofisini kwake mapema mwaka huu. Mazungumzo kati yao yalihusu ushirikiani kati ya nchi mbili hizo katika sekta ya ardhi.