News
Wiki ya Utumishi wa Umma
- Login to post comments
Printer-friendly version
Send to friend
PDF version
pamoja na Taasisi zake inapenda kuwakaribisha wananchi wote katika banda lake la maonesho kwenye Wiki ya Utumishi wa Umma Mnazi Mmoja Dare Es Salaam kuanzia tarehe 16-23 Juni 2009.
Miongoni mwa huduma zitakazoonyeshwa ni pamoja na utoaji wa hati za kumiliki ardhi kwa wananchi waliomilikishwa viwanja vya maeneo ya mradi wa viwanja 20,000 jijini Dar es Salaam.
Karibu ujionee huduma mbalimbali zinazotolewa na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi zilivyoboreshwa kwa ajili yako wewe mwananchi.
* Kwa huduma ya hati, tafadhali njoo na barua ya Toleo (Letter of Offer).
Imetolewa na:
Katibu Mkuu
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
S.L.P 9132 DSM
Simu: 022-2-121241 Fax: 022-2-124576
E-mail:km@ardhi.go.tz Website: www.ardhi.go.tz