November 1st, 2012
October 29th, 2012
October 10th, 2012
September 21st, 2012
September 11th, 2012
Viwango vipya vya kodi ya pango la Ardhi na tozo nyingine.Viwango hivyo vinahusisha:
1. GN 259-261 inahusu viwango vipya vya usajili na hamisho mbalimbali za nyaraka za kisheria.
2.GN 263-265 inahusu ada mbalimbali zitakazotozwa katika Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya na gharama za upimaji wa ardhi.
3. GN 266 inahusu viwango vipya vya kodi ya ardhi kwa matumizi mbalimbali nchini ( Viwanja na mashamba).