Mipango ya Miji na Vijiji! 

Uendelezaji wa miji nchini unaongozwa na Sera ya Maendeleo ya Makazi ya Taifa pamoja na Sheria ya Mipango Miji Sura ya 355 (zamani Sura 378 ) ya mwaka 1956 iliyorekebishwa mwaka 1961. Kwa miongozo hiyo, shughuli zote za uendelezaji wa makazi zinatekelezwa na Halmashauri husika za Wilaya, Miji, Manispaa na Jiji.  Soma Zaidi 

viji
Upimaji na Ramani! 

Huduma hii ipo chini ya Idara ya Upimaji na Ramani katika Wizara. Jukumu lake kubwa ni usimamizi wa upimaji ardhi na utayarishaji wa ramani mbalimbali za nchi mijini na vijijini. Ramani hizo ni msingi wa kubuni , kupanga, kutekeleza na kuratibu mipango ya maendelezo juu ya ardhi katika sekta na kwa matumizi mbalimbali. Soma Zaidi

Maendeleo ya Nyumba 

Uendelezaji wa nyumbna hapa nchini kwa kiasi kikubwa hufanywa na wananchi wenyewe. Idara ya Maendeleo ya Nyumba huandaa Sera, Sheria na kanuni zitakazosaidia utekelezaji wake.  Soma Zaidi

Usajili wa Hati na Nyaraka!

Huduma hii hutolewa na Kitengo cha Usajili wa Hati na Nyaraka kinachoongozwa na Msajili wa Hati aliyeko makao makuu. Kuna kanda 6 za Usajili katika miji ya Dar es Salaam, Dodoma, Mbeya, Moshi, Mtwara na MwanzaSoma Zaidi

Huduma za Uthamini!

Huduma hutolewa na kitengo cha Uthamini ambacho kinaongozwa na Mthamini Mkuu. Jukumu lake kubwa ni kukadiria na kushauri kuhusu thamani ya mali inayohamishikana na isiyohamishika. Soma Zaidi

Ministry Latest News

COMPLAINT ICON  

Miradi na Programu za Wizara

Mradi wa Maeneo Yaliyo Jengwa Ki...

09 July 2013
Mradi wa Maeneo Yaliyo Jengwa Kiholela

Utekelezaji wa Mradi wa Kutambua Miliki Kwenye Maeneo Yaliyojengwa Kiholela ulianza mwaka 2004. Awa...

Kigamboni New City

13 May 2013
Kigamboni New City

Due to the expansion of economic activities, Dar Es Salaam is expanding faster. In the coming few ye...

Wananchi wanavyonena

Taarifa Zaidi

Newsletters

Events Calendar

November 2015
S M T W T F S
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 1 2 3 4 5

Visitors Counter

4538936
Today
All days
12947
4538936

Matukio ktk Picha